MASOMO YA BIBLIA



ISHARA ZA KURUDI KWA YESU NA MCH.MOSES MAGEMBE



     Somo: Ishara za kuludi kwa yesu
Ishara za kurudi kwa yesu zimegawanyika katika makundi makuu mawili, nazo ni ishala mbaya za kuludi kwa yesu, na ishara nzuri za kuludi kwa yesu
A.ISHALA MBAYA
1. nyakati za hatari.
         2 timotheo 3:1-7.
2. siku za nuhu na luthu kurudia tena
  Luka 20-37.
3.  vita njaa majanga na matetemeko ya nchi
Mathayo 24:6-7, ufunuo 6:1-13.
IDADI YA MATETEMEKO (karne 10 zilizopita)

Karne ya 10= 32   
Karne ya 11= 56   
Karne ya 12= 115   
Karne ya 13= 137   
karne ya 14 =173   
karne ya 15 =253   
karne ya 16 =378   
karne ya 17 =640   
karne ya 18 =2119   
karne ya 19 =1919

4. utajiri kuongezeka duniani
Yakobo 5:1-9
5. mambo ya kutisha kuupata ulimwengu
Luka 21:29,
KATIKA ANGA
-utando wa kuzuia mionzi mibaya ya jua kuifikia dunia umetoboka, hii inasababisha kuongezeka kwa magonjwa duniani.!
-sayari iliyo kuwa ni ndogo kuliko zote imesinyaa na kupoteza sifa ya kuwa sayari (PLUTO)
6. mateso kwaajili ya wateule
7. upotovu mkubwa kutokana na imani za umizim na imani za kishetani
Mathayo 24:4-5, 11&24.


                                                                                              somo bado linaendelea.............!

3 comments: