Sunday, April 29, 2012

IBADA YA UBATIZO ILIYOFANYIKA T.A.G M/6- LEO ASUBUHI








JUMAAPILI HII

Mchungaji moses magembe wa kanisa la majumba sita T.A.G. ana wakaribisha watu wote kwenye ibada kubwa ya jumaapii hii tr29/4/2012. itakayo anza saa 09:00 mpaka saa 12:30 mchana, watu wote mna karibishwa.