- katika umisheni wa nje mikutano mingi mikubwa imekua ikiendelea katika nchi ambazo afrika kumepambazuka imefika.
- Pichani ni mikutano iliyo fanyika katika nchi ya msumbiji, jimbo la nampula.
![]() |
| idadi ni kubwa ya watu wanao kaa na klisikiliza neno la mungu |
- Pia katika umisheni wa nje kuna ujenzi wa chuo unao endelea.
- Baadhi ya picha za chuo cha biblia kinacho jengwa nchini msumbiji chini ya kampein ya afrika kumepambazuka





No comments:
Post a Comment